logo

vernacular musician samidoh narrates his humble beginnings, education journey and the death of his parents.

Samidoh Muchoki>

Samidoh Muchoki

by Helvine Achieng April 13, 2021


Vernacular musician Samuel Muchoki, popularly known as Samidoh, has recently disclosed and narrated his humble beginnings and what he underwent when growing up to Comedian Daniel Ndambuki (Churchill) Interview. The musician also told how his father lost his life and how at one point, he had joined the National Youth Service only to be expelled after sneaking out.


"I was born in a family of six, we are six boys, and I'm the third born. Mama alikuwa anaitwa Miriam Wairimu lakini alituacha. Na Mzee alikuwa anaitwa Michael Ndirangu. He was an Administration Police (AP) Officer. He worked in Nakuru and Molo na alikufa ile time ya clashes. Huwa naskia hizi vita za kikabila roho yangu inachafuka juu ziliniacha bila baba” 


Adding,


"Time ya clashes vile Askari hutumwa, yeye alirun out of ammunition so akapigwa na mshale na ndivyo alipatana na kifo chake. Hiyo kifo ilikuwa game changer juu ilituforce tutoke hiyo Subukia twende Nyandarua with my Mom and my brothers".


"At a very young age pale class three nilikuwa nalima hizo maboti za 15 by 15 ndio nisaidie mathe… na yeye pia tulikuwa tunalima na yeye juu hakuwa na formal employment. Life ilikuwa hard sana.


"Kuna siku niliacha shule nikaandikwa kazi ya kuchunga ng’ombe…na nilikuwa nalipwa mia tatu lakini si mimi napewa pesa ni Mzazi…uko kazi lakini huoni mshahara” said Samidoh.


He further stated the sacrifices he had to make at the expense of his education due to poverty.


 " In 2004 nilikuwa top student hiyo mwaka yangu…I joined Kieni Secondary School but nilikuwa nimepata Barua ya Jomo Kenyatta but sikufunga juu hata sikuwa na hope ya kwenda ata High School.

End of second term mom akaanza kuwa mgonjwa, hata kuna vitu nilikuwa nakosa but siwezi muuliza juu hana…nikatoka Kieni nirudi Nyandarua to take care of her. Two weeks after kujoin shule iko karibu na home mathe akaaga. After hapo nilikuwa mtoto wa community nachukua Unga kwa Yule na Mboga kwa yule and I survived”


Muchoki further revealed that after High school, he joined NYS but got chased away after sneaking out of the Gilgil Camp to go for an AP recruitment that he was not even picked for.Related

videos